Saturday, April 23, 2011

Heri ya Pasaka


Bodi ya wakurugenzi wa blog hii, KISIMA CHA FIKRA, inawatakia wasomaji wake wote heri ya Sikukuu ya Ufufuko wa Bwana Yesu Kristo. Baraka za Mungu ziwe nanyi nyote leo, kesho na daima.

No comments:

Post a Comment