Tuesday, April 19, 2011

DC akionesha mbwembwe za soka

Mkuu wa wilaya ya Ilala, Leonidas Gama akizindua mashindano ya Umiseta hivi karibuni. Yanahitajika mashindano ya viongozi kama hawa, na nina hakika yatakuwa burudani sana.

No comments:

Post a Comment