Wednesday, May 10, 2006

Na Huyu ni Sultan Tamba

Blogu mpya ya aina yake imeingia mtandaoni. Ni ya Sultan Tamba, mwandishi wa vitabum, hadhithi za kusisimua, mchoraji wa siku nyingi na ni msanii namna mbalimbali. Ameandika sana tule tuvitabu twa maandishi na picha za mahaba. Sasa ametoka Vipi? ametoka na mpya ya mapinduzi ya filamu Tanzania kwa njia ya mdandao. Sitaki kukuchosha muangalie mwenyewe hapa.

6 comments:

tamba said...

Nimefurahi sana kukuta kwamba una moyo ule ule wa wana blogu wengine, kutangazana na kufahamishana kuhusu waingiaji wapya wa hiki kijiji. Nafurahi na nitatembelea web yako mara kwa mara kwa ajili ya kupata mda mpya na mapya mengine. Tuko pamoja.

Michuzi said...

tamba kaza buti, kina spielbelg walianza kama wewe. kaka simon waonaje tukianza kumpa tafu tamba kwa kumpamba kwa makala kibao?

Reginald S. Miruko said...

kweli Michuzi kuna haja ya kumpa Tafu Sultani Tamba. naamini anaweza kuibuka na kuwa msanii maarufu, kwani alianza kiduchu na sasa naona mambo yake makubwa. Kazi iliyopo ni yeye kwanza kuyatangaza mambo anayofanya ili unapompamba wanaosikia waone ukweli

Rashid Mkwinda said...

Haya tena mambo yanekuwa mamboni, Bw, Tamba kaingia mtamboni, hakuna kingine bali ni shukrani Bloguni, hatuna buni kumuunga mkono karibu Bw. Tamba ugani uweke wazi yaliyoko mwako moyoni.

Wakatabahu

Anonymous said...

Your are Excellent. And so is your site! Keep up the good work. Bookmarked.
»

Anonymous said...

Tmba ni tapeli wa kawaida sawa na baba yake na kaka yake. Hana cha maana cha kumsifia zaidi ya kuchafua maadili yetu. Kama akitaka kuheshimika akasome basi kuliko kuendkeza njaa kama baba yake anayeugua ukimwi huku akijifanya anayo dawa ya kuutibu. Watu wa Ilala hasa Shauri Moyo wanamfahamu alivyokuwa jambazi wa kawaida tu ajiitaye shehe

Post a Comment