Wednesday, March 04, 2009

Rehema mwakangale kuzikwa kesho

Mazishi ya yule Mtangazaji wa Independent Television (ITV), Rehema Mwakangale aliyefariki jana yanatarajiwa kufanyika kesho katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam Habari Zaidi.

1 comment:

Elieseri said...

Kweli siwezi kuamini lakini wote tuko safarini, nawaombea familia yote na Mungu azidi kuwapa faraja katika kipndi hiki kigumu. Mungu amlaze mahali pema peponi

Post a Comment