Tuesday, October 26, 2010

Kikwete amwaga sera Nyarugusu

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete akiwahutubia maelfu ya wananchi wa tarafa ya Nyarugusu jimbo la Busanda, wilayani Geita jana mchana.

Maelfu ya wakazi wa Nyarugusu wakimsikiliza mgombea urais
kwa tiketi ya CCM, Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowahutubia
jana

No comments:

Post a Comment