Tuesday, October 26, 2010

Mkutano wa Slaa Zanzibar

Mgombea urais wa CHADEMA, Dkt. Willibrod Slaa akihutubia mkutano wa kampeni Mjini Zanzibar. Leo atafanya mkutano katika viwanja vya Mwembeyanga, Temeke Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment