Friday, March 06, 2009

Michael Uledi Kuzikwa Leo

Mwandishi Mwandamizi wa Mwananchi Communications Ltd aliyekuwa mwakilishi wa kituo cha Dodoma, Michael Uledi aliyefariki dunia jana atazikwa leo nyumbani nyumbani kwao, Kijiji cha Buigiri, Chamwino mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment