Monday, March 02, 2009

MASKINI HAWANA OFISI


Kutokana na uhaba wa ofisi, walimu wa shule ya msingi Gedeli iliyopo Nyakato jijini Mwanza wakiwa katika baraza la moja ya madarasa ambapo wamekuwa wakipatumia kama ofisi yao, nyakati za mvua wamekuwa walilazimika kuhamisha meza zao na vitabu vyao vya kufundishia. Picha na Frederick Katulanda

No comments:

Post a Comment