Wednesday, June 11, 2008

Kesho Bajeti

Zakia Meghji, Waziri wa zamani wa fedha akionyesha mkoba wenye bajeti ya mwaka jana ISOME HAPA, ambayo hata hivyo haikuwasaidia sana wananchi--maisha bado magumu, mfumuko wa bei, njaa, mzigo wa kodi nakadhalika. Je, kesho aliyekuwa naibu wake wakati huo, sasa Waziri Kamili wa Fedha na Uchumi, Mustapha Mkulo ataleta bajeti yenye kuleta kicheko? Yetu masikio na macho.

-RSM-

No comments:

Post a Comment