Wednesday, June 11, 2008

Mufti's Whereabout

heikh Mkuu, Mufti Issa Bin Shaaban Simba uko wapi? Wamechonga sana juu yako, wakasema umekatwa mguu nchini India, wakasema una hali mbaya kiafya, wakasema unaweza usirudi...Na mengine mengi... Sasa tunasikia umerudi, ukashukia Kilimanjaro Airport ukajichimbia Arusha mahali kusikojulikana. Wito wangu ni kwamba ujitokeze hadharani ili umma wa Waislamu na watanzania ukuone, uelewe hali yako kama kiongozi...Jitokeze baba uonyeshe

No comments:

Post a Comment