"Those who are too smart to engage in politics are punished by being governed by those who are dumber."-Plato
Thursday, June 12, 2008
Hii Ndiyo Bajeti
Hiki ndicho kitabu tunachotarajia kitakuwa na Hotuba ya Bajeti inayotarajiwa kusomwa na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustapha Mkulo kuanzia saa 10:00 alasiri leo. Fuatilia hapa baadaye kupata bajeti hiyo muda ukifika.
No comments:
Post a Comment