Friday, November 02, 2007

Naomba unisikilize...Heri yake huyu binti, mshiriki wa Miss Utalii alipata nafasi na kumnong'oneza Rais Jakaya Kikwete kitu alichohitaji. Wengi wanatafuta fursa kama hii wanaikosa. Je wewe ukiipata utamweleza nini? (picha kwa hisani ya watu wazito)

2 comments:

Anonymous said...

We miruko acha uchokozi. Kwani mrembo kumnong'oneza rais kuna nongwa gani. Unataka tukueleze nini?

Anonymous said...

siyo palichimbika siku hiyo nyumbani kweli,hadi wivu yaani

Post a Comment