Saturday, November 03, 2007

Mtandao mashakani????


Pius Msekwa (pichani) alishindwa na Samuel Sitta katika kinyang'anyiro cha uspika na kuachia kiti kwa aibu kubwa. Waliomwangusha ni watu wa mtandao, walioshiriki kwa kiasi kikubwa kumweka Rais Jakaya Kikwete madarakani. Lakini jana kinyume na matarajio ya wengi, JK kamuona tena na kumpendekeza kuwa makamu wake katika Chama cha Mapinduzi. Tutafakari, ubaya aliokuwa nao hadi akashindwa uspika umeishia wapi? au Kikwete ameanza kuusafisha mtandao wake? (Picha:Bukuku)

No comments:

Post a Comment