Friday, November 02, 2007

Cheki na Hawa Wameingia


Majuzi niliwaletea magazeti makongwe ya Habari Corporation mtandaoni. Walioyaanzisha kuanzia mwaka 1993 wameuza hisa zao zote kwa mwekezaji Rostam Aziz na kuanzisha gazeti jipya huku wakijutia uamuzi wao. Bonyeza RAIA MWEMA upate kulisoma.

No comments:

Post a Comment