Friday, February 15, 2013

Papa mpya kupatikana kabla ya Pasaka

Mchakato wa kumpata kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki baada ya Benedict XVI (pichani, Kushoto) kujiuzulu, utaanza mara tu baada ya tarehe rasmi ya kuachia ngazi, Februari 28, 2013. Na habari zinasema na habari zinasema Papa mpya wa kurefusha ORODHA HII anaweza kupatikana kabla ya Pasaka, Machi 31, 2013.

No comments:

Post a Comment