Monday, May 02, 2011

Kumbukumbu Dominic Mwita

Marehemu Dominic Mwita


Jumamosi iliyopita ilifanyika misa ya kumkumbuka na kumwombea Alumn wa Saint Augustine University wa Tanzania (SAUT), Marehemu Dominic Mwita. Mwita kabla ya kifo chake, alifanya kazi ya uandishi na uhariri katika magazeti ya Daily News, This Day na baadaye kuhamia UNICEF alikokaa hadi mauti yanamkuta kwa ajali ya gari. Pichani, baadhi na Alumni wa SAUT waliohudhuria misa hiyo katika Kanisa la Ksimbazi, Dar es Salaam. (Picha na Grace Lyon)

No comments:

Post a Comment