Tuesday, May 31, 2011

Ndani ya Jukwaa la Wahariri


Baadhi ya wahariri waliohudhuria Mkutano wa Jukwaa lao mkoani Arusha mwishoni mwa wiki katika shughuli mbalimbali. Picha ya juu wakifurahia jambo nje ya ukumbi wa hoteli ya East Africa; na chini wakiwa ukumbini.

No comments:

Post a Comment