Sunday, January 09, 2011

Rwa'ichi asimikwa Askofu Mkuu

Balozi wa Papa inchini, Askofu Mkuu Joseph Chenos (kushoto) akiwa na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardnali Pengo baada ya kumsika na kumkalisha katika kiti cha kiaskofu, Askofu Yuda Thaddaeus Rwa'ichi kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza katika viwanja vya vya Kawekamo jijini humo leo. (Picha na Patrick Mabula).

1 comment:

Post a Comment