Matokeo Rasmi Mwanza
Umeya
Josephat Manyerere: CHADEMA - kura 17
Stanslaus Mbaula: CCM - 15
Naibu Meya
Charles Marwa: CHADEMA - 17
Daudi Mkama: CUF - 15
Note: Mji wa Mwanza sasa ni shwari, wananchi waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo la uchaguzi wameshatawanyika kwa amani. Polisi waliokuwa wametanda nao wameondoka bila kutumia 'ujuzi' wao.
No comments:
Post a Comment