Thursday, January 13, 2011

Summary ya matukio Arusha

Waliouawa na polisi waagwa na halaiki

*Viongozi wa dini wasema wamekufa wakitetea taifa
*Freeman Mbowe adai mauaji hayo yalikuwa yamepangwa


Na Glory Mhiliwa, Arusha

MAELFU ya wakazi wa Arusha na mikoa ya jirani jana walijitokeza katika kuaga miili ya >>> endelea>>

Picha ya jamiiforums

Kauli rasmi ya CHADEMA

Na Grace Michael

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa mauaji yaliyofanywa na Askari Polisi mkoani Arusha yalipangwa na Rais Jakaya Kikwete pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM) walihusika moja kwa moja katika

Nyomi


Jeneza la Ismail

Dk. Slaa na Askofu Laizer

1 comment:

emu-three said...

Haya , hiki ndio kisiwa cha AMANI NA UTULIVU!

Post a Comment