Wednesday, December 08, 2010

Tamu kuliko nyama

Wakazi wa Geita wakinunua senene kando kando ya
barabara kuu mjini humo. Biashara hii ni maarufu mkoani Kagera, lakini kutokana na mwingiliano wa watu imeanza kusambaa. Senene hawa 'wakikubali' kujaa kikombe huuzwa kwa sh. elfu moja.

1 comment:

emu-three said...

Nasikia hata ukitaka kuuoa huko zawadi kubwa ni hawo `wadudu' mmmh, senene!

Post a Comment