"Those who are too smart to engage in politics are punished by being governed by those who are dumber."-Plato
Wednesday, December 08, 2010
Tamu kuliko nyama
Wakazi wa Geita wakinunua senene kando kando ya barabara kuu mjini humo. Biashara hii ni maarufu mkoani Kagera, lakini kutokana na mwingiliano wa watu imeanza kusambaa. Senene hawa 'wakikubali' kujaa kikombe huuzwa kwa sh. elfu moja.
1 comment:
Nasikia hata ukitaka kuuoa huko zawadi kubwa ni hawo `wadudu' mmmh, senene!
Post a Comment