Monday, December 13, 2010

Ajifungua watoto watanoTumpongeze Bi.Shija Maige (33) mkazi wa Kahama Mkoani Shinyanga kwa kujifungua salama watoto watano. Yeye na wanawe wako na afya tele.

1 comment:

emu-three said...

`NENDENI MKAIJAZE DUNIA...KWA MFANO AKIZAA MARA TATU KWA MPIGI HUO, ITAKUWAJE...HUYU ANATAKIWA ATUNZWE NA SERIKALI...!

Post a Comment