Spika akabidhiwa jina la Waziri Mkuu
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete leo katika ikulu ndogo ya Dodoma akimkabidhi Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Anna Makinda bahasha yenye jina la anayetarajiwa anayetarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania(picha na Freddy Maro)
1 comment:
Kiroho, du du du !
Post a Comment