Tuesday, November 16, 2010

Hongera Mh. Regia Mtema

Mheshimiwa Regia Mtema Mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA. Aligombea katika Jimbo la Kilombero na kushindwa kwa taabu. Ni Jimbo ambalo watu wanasema kura zilichakachuliwa, lakini bahati yake ilishapangwa na Mungu. Hongera Mheshimiwa

1 comment:

Anonymous said...

Sema aligombea na kushindwa. Alishindwa kwa taabu namna gani? Tofauti ya kura iliyosainiwa na mawakala wake si uliona ilivyokuwa kubwa? Be objective na acha ushabiki. Nyie waandishi ndiyo mmemponza Dr.Slaa kwa kumwanisha kwamba watampigia kura nyingi kuliko wagombea wengine. Mzee wa watu anahangaika tu sasa, haamini kilichotokea.

Post a Comment