Monday, October 04, 2010

Wilbroad Ameremeta

Hii imependeza: Bila shaka ndivyo wanavyoelezana Wilbroad Mutahangarwa na 'my wife wake' wakati wakitazama picha waliyopigwa wakati wa mahafali yake ya kutunukiwa Shahada ya Procurement katika chuo cha ugavi Jumamosi Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment