Monday, October 18, 2010

Mikutano ya Slaa Nzega, Shinyanga

Baadhi ya wakazi wamji wa Nzega wakishangilia wakati mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, alipowahutubia katika mkutano wakampeni, kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Nzega jana.
Mgombea urais wa Tanzaia kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiagana na wakazi wa mji wa Nzega, mara baada ya kuwahutubia katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba jana.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akikumbatiana na mmoja wa masister walihudhuria mkutano wa kampeni za mgombea huyo, uliofanyika kwenya Uwanja wa Sabasaba mjini Nzega jana.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akisalimiana na masister mara baada ya mkutano wake wa kampeni, kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Nzega jana.

1 comment:

NASHIR said...

Slaa andaa wapenzi wako kupotea majibu ya sampuli 2 ukiwaja matumaini ya furaha tu bila kuzingatia upande mwingine wa shilingi utasababisha watu kununiana. Bado idadi ya idadi kubwa ya watu si kigezo tosha cha kujipa matumaini kiasi hiki, nafkiri wengine walikuja kumuangalia sugu, wengine helicopita, na wengine wana bodaboda wanasubiri wateja.

Post a Comment