Wednesday, October 20, 2010

Maji ya shingo: Wameanza vitisho

Maelezo yanajieleza. Ukishindwa hoja unatumia vitisho. sERIKALI IMEANZA VITISHO KWA WANAHABARI, lakini Sisi tunasema HATUDANGANYIKI

2 comments:

Anonymous said...

HAki ya Mungu hatudanganyiki Mungu aturehemu na wababe wa kitaaluma!!

NASHIR said...

wayasemayo serikali yana msingi, mwananchi wamevuka mipata lkn kwa kuwa ni kipindi cha kampeni si rahisi baadhi yenu kutafakar kauli/tuhuma zao kwa jicho la upembuzi. Subiri uchaguzi ukiisha soma nakala hizo zinazopigiwa kelele ndoo mtatambua walimaanisha nini

Post a Comment