Tuesday, October 12, 2010

Brighton, Martha wameremeta


Brighton Edward wa UPL na mkewe Martha Mtangoo wa TSN wakiwa na nyuso za furaha mara
baada ya kufunga ndoa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania- KKKT, Usharika wa Kijitonyama Dar sa Salaam hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment