Thursday, October 21, 2010


Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Magomeni, Kirumba.

4 comments:

Anonymous said...

uko juu ile mbaya.we ndio raisi wetu 2010.tunakukubali

Anonymous said...

laiti km watanzania wangetanua ubongo na kufikiri kwa kina huyu ndie anaeifaa tz.

Anonymous said...

ewe mtanzania unatambua km unachangia ccm bila hiari yako.ukitaka kujitoa tuma neno ONDOA kwenda 15016.haijalishi upo mtandao gani.

Anonymous said...

jamani ndo maana hela inaiisha haraka kumbe naibiwa.wezi wakubwa nyie ccm.hela yenyewe ya mawazo hlf mnaitaka wkt mna mahela kibao!pumbavu!

Post a Comment