Thursday, October 28, 2010

Kikwete Afunika Mwembeyanga




Rais Jakaya Kikwete ambaye ni Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Temeke kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Mwembeyanga tarehe 27.10.2010

1 comment:

emu-three said...

Kwa kweli kampeni za jamaa watu wanajaa sio mchezo, kwasababu kubwa wanaiulia hadhira inataka nini...taarabu, majoka, kwaya, kanga, kofia....mmmh, we acha tu!

Post a Comment