Thursday, October 28, 2010

CCM mbona haizungumzii Green Guards?

1. Kwanini walinzi wa CCM, Green Guards, hupata mafunzo ya kijeshi?
2. Kwanini wanavaa kijeshi/mgambo?
3. Wanapata wapi mikanda ya jeshi?
4. Kwanini CCM haiwazungumziii, hata baada ya kulalamikiwa kila mara?

No comments:

Post a Comment