Tuesday, October 12, 2010

Mfumuko wa bei wamtesa mbunge Komba

*Alia bei ya sukari kwa mbele ya Rais Kikwete

*Asema Mbambabay inauzwa 3000/- hadi 3500/-

Na Suleiman Abeid, Mbambabay

MGOMBEA ubunge katika jimbo la Mbinga Magharibi kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kapteni John Komba amemuomba Rais Kikwete awasaidie kuwatatulia kero mbalimbali zinazowakabili wakazi wa jimbo lake ikiwemo ukosefu wa sukari ambayo sasa wanalazimika kuinunua kati ya sh. 3,000 na 3,500.>>>Endelea nayo Majira

1 comment:

Anonymous said...

Ni mawazo finyu ya viongozi waio na mwelekeo na wavivu wa kufikiri. Kila mbunge akilia hivi huyu kikwete atasaidia wangapi. Aache uzembe na afikirie jinsi ya kujikwamua. Mbaya zaidi huo ni USANII wa KISIASA kuwaonesha wananchi kuwa anafikisha malalamiko yao wakati anatakiwa kufanya kazi. Kwa aina hii ya wabunge kamwe hatutaendelea.

Post a Comment