Tangu Septemba 21 wasomaji wa blog hii walipata fursa ya kupiga kura. kwa hiyari yao wasomaji 120 walipiga kura zao kwa wagombea, na matokeo yalikuwa hivi; kama inavyoonekana hapo pembeni
Jakaya Kikwete 19 (15%)
Prof. Ibrahim Lipumba 2 (1%)
Dk. Willibrod Slaa 95 (79%)
Mutamwega Mgaywa 0 (0%)
Hashimu Rungwe 3 (2%)
Peter Mziray 1 (0%)
1 comment:
Hi Miruko, maoni hayo baada ya matokeo kamili usishangae JK akifunika kiuhalisia bado CHADEMA na wenzei Watanzania hawawezi kuwapa nchi hii labda baada ya miaka 25 ijayo tena waangalie vinginevyo hadi kiama kitokee CCM wataendelea kutawala milele, Mimi mkereketwa wa maendeleo Mbeya.
Post a Comment