Sunday, October 31, 2010

Uchaguzi wafanyika, Sheikh Yahya aumbuka

Pamoja na majigambo ya muda mrefu kuwa mwaka huu hakuna uchaguzi, na kuwa kuna kigogo/mgombea angekufa ukaahirishwa, mambo yote yameshindikana na uchaguzi hivi sasa unaendelea katika maeneo mbalimbali. Habari zenyewe zilikuwa hivi, Dar hot wire.
Na hapa iliandikwa hivi kwenye WAVUTI

No comments:

Post a Comment