Sunday, September 26, 2010

JK akinunua meli nchi inasimama

Hii bei yake inatajwa $1bn. Nadhani ni kama hizo alipoahidi kukukui JK endapo atarudishwa ofisini. Moja itakuwa pale Lake Victoria, ya pili Tanganyika na ya tatu Nyasa.

Hii ni nafuu ni Euro 1,500,000 tu

ni kama feri ya Magogoni/ Kamanga, ni Euro 245,000

2 comments:

Anonymous said...

ALIAHIDI KUNUNUA MELI KUUUBWA MWANZA, NYINGINE ALIAHIDI BUKOBA KUUUBWA ZAIDI YA MV BUKOBA, KIGOMA KYELA NA KIVUKO KIKUUUUBWA PANGANI; HIZI NI AHADI TU SI LAZIMA ZITEKELEZWA NI KAMA ZILE TUNAZOAHIDI KWENYE VIKAO VYA HARUSI TOFAUTI NA HIZI ZA URAISI HAZINA KUDAIANA AKIINGIA MADARAKANI KWANI ATAMRIHTISHA MWENZAKE NAYE AZITUMIE.

Anonymous said...

Kama bei ni hizo bora kujenga daraja Mwanza hadi Bukoba nadhani utasaidia hata wavuvi kuvulia darajani!!!

Post a Comment