Thursday, September 23, 2010

Piga kura ya Rais

Pembeni hapo kulia nimeweka orodha ya wagombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, kwa ajili ya kuwapigia kura. Unaruhusiwa kupiga kura kwa mtu mmoja, na mara moja ili tusaidiane kupata taswira sahihi ya matokeo ya uchaguzi.

No comments:

Post a Comment