Thursday, August 19, 2010

Muuza Albino ahukumiwa chapchap




Na Wilhelm Mulinda, Mwanza

MKAZI wa Kitare nchini Kenya, Nathan Mtei (28) amehukumiwa kulipa faini ya sh. milioni 80 pamoja na kutumikia kifungo cha miaka minane jela baada ya kupatikana na makosa ya kumtorosha na kumsafirisha albino kwa nia ya kumuuza jijini Mwanza, Tanzania.

>>>Endelea nayo

2 comments:

emu-three said...

Adhabu kama hizi kwa watu kama hazitoshi, watu hawa hawajali uhai wa wenzio kwanini yeye tumjali

Anonymous said...

Kwa kweli polisi hongera kwa kazi nzuri,jambo moja tu sikulipenda ni staili mliyotumia kumkamata mtuhumiwa,iweje muingie naye makubaliano ya kuwaletea viuongo vya albino?Kimsingi mlimtuma awaletee na akaondoka kutafuta viuongo hivyo,hamuoni kama mtego wenu ulihatarisha maisha ya mtu,suppose huyo mtuhumiwa angehamua kumuua na kuleta viungo kama mlivyokubaliana?mgekuwa accomplice wa kosa na assesories before the fact,mitego mingine haifahi kabisa na sio proffesion,nyinyi lengo ni kukamata na kujitangaza kwenye vyombo vya habari kuwa mmefanya kazi ya maana bila kuangalia the other side of the coin.Try to be more proffesional please.KARIM

Post a Comment