Wednesday, March 11, 2009

Wazo Bonzo

Tujiulize,

Kwa kuwa, Mwinyi alimwakilisha JK kwenye Baraza la Maulid, na

Kwa kwa, aliyosema pale ni yale aliyotumwa na mgeni rasmi, JK na

Kwa kuwa, watu waliohudhuria walidhani wangemkuta JK, kwa hiyo basi,

Itakuwa ni kosa kusema kuwa ALIYEZABWA KIBAO NI JK?

2 comments:

Bwaya said...

Kwa muunganiko huu wa kimantiki, jibu ni ndivyo ilivyo.

Niongezee hapo: ... na kwa kuwa haya haya ndiyo yaliyotokea Mbeya, hali hii inatufundisha nini?

Anonymous said...

kumbukeni katika logic kuna vitu viwili? Validity & Sound. Hoja yako ni valid lakini hai-sound. Katika logic unaweza kutoa hoja kuwa yupo ng'ombe ana miguu kumi na ancheza kwasakwasa na ikakubalika. Ukawa hoja kama Sophist. lakini yuko ng'ombe wa miguu kumi? Huenda Mwinyi aliyaongezea mwenyewe hayo ya kondom wakamzaba.

Post a Comment