Monday, May 24, 2010

Kesi ya hawa wadosi pia ilikuwapo

Full Bench: Aggrey Mgonja (L), Daniel Yona (C) na Basil Mramba wakiwa kortini leo asubuhi tayari kusikiliza kesi yao ya matumizi mabaya ya madaraka kuipa mkataba wa kukagua madini Kampuni ya Alex Stewart Assayers na kusababisha hasara ya sh bil. 11.7. Kigogo mwingine aliyestakiwa kwa kosa kama hilo Benki Kuu ya Tanzania, kwa kuidhinisha ujenzi wa maghortofa pacha ya sh 221 bilioni, Amatus Liyumba amehukumiwa kulamba 'mvua mbili' jela.

No comments:

Post a Comment