Monday, August 02, 2010

Kikwete apiga kura za maoni


Rais Jakaya Kikwete akipiga kura za maoni nyumbani kwao msoga wilayani Bagamoyo Jumapili matokeo ya kura hizo yanaendelea kutoka yakionesha mabadiliko makubwa. Matokeo rasmi yatakuwapo hapa baadaye

No comments:

Post a Comment