Monday, August 02, 2010

Mabere Marando na Chadema


Mwasisi wa mageuzi nchini,Bw. mabere Marando akiwa katika jukwaa la kumwombea wadhamini mgombea urais wa Chadema, Dk. willibrod Slaa katika mkoa wa Kigoma. Marando alipojiunga na Chadema wiki mbili zilizopita, aliapa kuzunguka nchi nzima kumnadi Dk Slaa. Lakini wengine wana mawazo tofauti naye, wanajiuliza je, huyu mwanausalama mkongwe anawajenga au anawaangamiza?

No comments:

Post a Comment