Thursday, June 03, 2010

Tofauti ya Mkapa, KikweteRais Mstaafu Benjamin Mkapa tangu alipoingia madarakani 1995 hadi alipondoka 2005 mfumuko wa bei ulikuwa unashuka kutoka 27.4% hadi 5.0%. Aliyemfuatia Rais Jakaya Kikwete alipoingia mwaka 2005 mfumuko ulianza kupanda tena mwaka hadi mwaka na sasa ni 12.1%. Hiyo ndiyo ninaweza kueleza kama tofauti ya maneno na vitendo.
(source: Ministry of Finance)

No comments:

Post a Comment