Thursday, June 03, 2010

Warembo wa Kili


Picha kuonyesha warembo wanaochuana katika kinyanganyiro cha kumtafuta
mlimbende wa Mkoa wa Kilimanjaro (Miss Kilimanjaro). Shindano la
kumtafuta Miss Kilimanjaro litafanyika Juni 12 mjini Moshi. Mafanikio yake, hasa kuhusu viingilio yanatarajia ratiba ya mechi za Kombe la Dunia.

No comments:

Post a Comment