Monday, June 07, 2010

Makumbusho ya Wasukuma


Rais Jakaya Kikwete akipewa maelezo na Padri Sandu Nicasius, Kiongozi wa makumbusho ya kihistoria ya kabila la Wasukuma. Watemi Walijenga kibanda na kuandika majina njia ambayo walitumia kujifunza kuhesabu. Makumbusho hayo yanajulikana kama [Bujora Wasukuma Museam]

No comments:

Post a Comment