Thursday, June 10, 2010

Mambo ya Bungeni


Mbunge wa Mbozi Magharibi,Dkt. Luka Siyame,Bw. Charles Mwera(Tarime) na Dkt. Wilbroad Slaa(Karatu)wakati wakiingia kuhudhuria Kikao cha Bunge kilichoanza juzi mjini Dodoma.


Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Fredrick Werema akiingia Bungeni
kuhudhuria Mkutano wa Ishirini Kikao cha Kwanza cha Bunge mjini Dodoma.


Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda (wa pili kulia)akifurahia jambo wakati
akitoka nje ya Bunge na baadhi ya wabunge mjini Dodoma. Kutoka
kushoto ni mbunge wa Muleba Kaskazin, Bi.Ruth Msafiri,Bi. Anne Kilango
Malecela(Same Mashariki)na Bw. Mohamjed Missanga (Singida Kusini)


Mbunge wa Kwela, Dkt. Crisant Mzindakaya akisalimiana na Mbunge wa
Peramiho, Bi. Jennister Mhagama wakati wakiingia kuhudhuria Kikao cha
Bunge kilichoanza juzi mjini Dodoma

Waziri wa Afya na Usatwi wa Jamii, Profesa David Mwakyusa (kushoto),
akisalimiana na Dkt.Abdallah Kigoda(Handeni)na Naibu wa wizara
hiyo,Dkt.Aisha Kigoda muda mfupi baada ya Mkutano wa Ishirini Kikao
cha Kwanza cha Bunge Dodoma.

No comments:

Post a Comment