Wednesday, June 09, 2010

JK ampa kinyago Kaka


Ningekuwa mimi ningemwachia huru mwanafunzi wa Green Acres aliyeingia uwanjani kutimiza ndoto yake ya 'kumkumbatia' Kaka wa Brazil. Nimeona hata kama picha hii inavyoonesha hata Rais Jakaya Kikwete alilazimika kumuita na kumkabidhi kinyago ili ashikane naye mkono. Hata Ridhiwan, ilimlazimu kwenda kwa baba kupata bahati hiyo.

No comments:

Post a Comment