Thursday, June 10, 2010

Aliyemkumbatia Kaka huru

Kijana aliyemkumbatia mchezaji Kaka wa Brazil, kama anavyoonekana kwenye picha tofauti ameachiwa huru na polisi, baada ya kuona kosa lenyewe linashughulikiwa na kanuni za soka, chini ya TFF (Picha za Global Publishers)

No comments:

Post a Comment