Tuesday, June 08, 2010


Kaka alikuwa kivutio cha wengi, akiwamo shabiki aliyeingia uwanjani akamkumbatia, wengine waliamua kupiga naye picha, kama anavyoonekana Farouk Karim. Sala ya Maximo haikumsaidia kwa Taifa Stars kufungwa 5, lakini ikamsaidia kwa timu ya nyumbani kufungwa 1. Vijana wa kazi wakaingia uwanjani kwa kwa utulivu, huku wapigapicha wakijituma vilivyo kupata kumbukumbu.

No comments:

Post a Comment