Tuesday, June 08, 2010

Ali Kombo Naye Aweka Rekodi

Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Green Acres, Ali Kombo (kushoto) akienda kumkumbatia mchezaji wa Brazil, Kaka kwenye mechi kati ya Stars na Brazil jana. Baada ya kufanikisha nia yake, aliishia mikononi mwa polisi. (Picha ya Global Publishers)

No comments:

Post a Comment